🥚 Mayai
MAYAI ya kuku layers
Ilemela, Mwanza
Maelezo ya tangazo
MAYAI YA KUKU Mayai safi na yenye ubora, yanafaa kwa matumizi ya nyumbani, migahawa, hoteli, maduka na wafanyabiashara. • Yanapatikana kwa tray au kwa oda kubwa • Safi na yamehifadhiwa vizuri • Bei nzuri kulingana na kiasi unachoagiza • Oda za jumla zinakaribishwa
- Idadi
- 25
- Eneo la jumla
- Ilemela, Mwanza
- Hali
- Imechapishwa
- Aina
- Mayai
- Uzao/aina
- Layers
- Tarehe ya tangazo
- 18/9/2026
- Upatikanaji
- Inapatikana
